SOW Team members Moris na Emmanuel wakiwa kwenye kampeni ya kuchangia mawazo chanya kwa jamii ili kuwasaidia kukabiliana na unyanyasaji wa watoto. Vile vile kukatisha tamaa mila na desturi zinazodhoofisha ustawi wa mtoto, na kuleta uelewa wa kijamii juu ya tawi jipya la SOW mkoani Mara na jinsi shughuli zake zinavyofanya kazi
top of page
bottom of page
コメント