
Jua Ukweli
-
Takriban wasichana 3 kati ya 10 wenye umri wa miaka 13 hadi 24 nchini Tanzania waliripoti kufanyiwa angalau tukio moja la ukatili wa kingono kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
-
13.4% ya wanaume waliripoti kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
-
Aina ya ukatili wa kijinsia uliokithirizaidi kwa wanawake na wanaume ambao hawajafikisha umri wa miaka 18 ni kuingiliwa kingono.
-
Utafiti unaonyesha 14.0% ya wanawake na 5.9% ya wanaume wenye umri wa miaka 13 hadi 17 waliripoti kufanyiwa angalau moja ya unyanyasaji wa kijinsia.
-
Kwa wale wote waliokuwa wamefanyiwa unyanyasaji wa kijinsia kwa mara ya kwanza kabla ya kufikisha umri wa miaka 18, utafiti unaonyesha takribani theluthi moja sawa na 29.1% ya wanawake na 17.5% ya wanaume waliripoti kuingiliwa kingono bila ya ridhaa yao kwani hawakuwa tayari kufanya hivyo.
Tabia ya kweli ya jamii inaonekana katika jinsi inavyowatendea watoto wake.
Nelson Mandela
Rasilimali Zinazopatikana
​Namba za Dharura
-
POLISI 112
-
GARI LA WAGONJWA 115
-
DAWATI LA JINSIA NA WATOTO 116
-
USAIDIZI WA KIAFYA 117





